Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,597
ladyfurahia mbona hujataja sanduku lako la posta?
natuma salamu kwako wewe mwenyewe unayenipenda kwa dhati, natuma salamu kwa kaka yangu Erickb52, aliyeko A-town, natuma salamu kwa Bujibuji asiyetabirika hata kama yuko hoi yeye anakwenda job tu, natuma salamu kwa charminglady ambaye ni cousin wangu wa ukwelh, natuma salamu kwa Chimbuvu asiyevuma lakini yumo, natuma salamu kwa Nicas Mtei ambaye siku hizi amejaa upako wala hatoi tena thread zake kutupa raha sisi, natuma salamu kwa aa kwaaa kwaaa nani tena yule haaaa nimesahau jina jamani acha nifikirie nitatuma tena salamu hapo unasemaje best bado niendelee au......................................................
Last edited by a moderator: