donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
bangi inakatazwa lakini RIZLA inauzwa free na inalipiwa kodi,
kwa hiyo hadi wavuta bangi wanalipa kodi
subiria mpiraa mkuu..
kitu cha masela hicho
Mate yashanijaa..kma wengin mnavyopenda mademu,ndo hivo na ss tuavyopenda bangi,kila mtu na maisha yake..
Hiyo lizila....
maeneo ya vibwende.....
Hapa nimekupata vizuri.Ila bangi ni nzuri kuliko Pombe.
''Hukuweka karibu na Mungu''
bangi inakatazwa lakini RIZLA inauzwa free na inalipiwa kodi,
kwa hiyo hadi wavuta bangi wanalipa kodi