Sigara ni hatari

Sigara ni hatari

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
BckLgnEIIAAGrcL.jpg:large
 
Nawaulumia wavutaji kama mambo yenyewe ndo haya
 
hakuna mvutaji asiye jua madhara and we still smoking
 
rekebisha heading sio sigala ni sigara

kweli mkuu,hata mie imenishtua maana sigala ni jina la mchizi wangu yupo iringa nikadhani kuna kitu ameharibu,sasa wanamtangazwa kwamba----sigala ni hatari,,,,,,,slaa ni hatari
 
kweli mkuu,hata mie imenishtua maana sigala ni jina la mchizi wangu yupo iringa nikadhani kuna kitu ameharibu,sasa wanamtangazwa kwamba----sigala ni hatari,,,,,,,slaa ni hatari

kweli ila umenifanya ni smile for awhile kiswahili kigumu,kiingereza kigumu
 
Una maanisha Norman Sigala yule mheshimiwa mkuu wetu wa Wilaya, amefanya nini tena?
 
Aagh!!!kumbe yanakuwa meusi tuu,mm nilijua yanagoma kufanya kazi.......oyaa mangi nipe SM za sh 1500
 
Nini hiyo mbona hata kwenye label ya pakiti kuna maandishi ya onyo (Sigara inaua) na bado wanavuta... tena na Serikali yetu tukufu inazidi kuongeza kodi kwenye bidhaa hiyo ili ijiendeshe vizuri.

Unatishia walipa kodi wetu unataka nani ajenge barabara zetu, unataka sisi watumishi wa umma tusilipwe mishahara yetu minono eeehhhh????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom