General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
Kweli ni chungu.Go to hell general, it's widely open for you "silence is the best answer" they say... if you have nothing to offer you better give your fingers a break
Ni rahis kuwa baba lakin kuwa baba mzaz ni kazi.
end then What? walk away from ordinary life...mambo ya ukoo na kabila ni mambo ya kukariri tu. Toka kwenye mawazo mgando, maisha ni wewe na wewe ndio maisha. Kuna mdau kasema toa sadaka ya shukrani kwa huyo baba aliekulea kwa upendo na kukutunza hadi chuo. ZINGATIASure! But i just needed atleast to know my tribe for the sake of an identity, i just thought knowing oneself matters, isn't it?
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Exactly umesema ujue kuna vitu vingine ni meaninglessend then What? walk away from ordinary life...mambo ya ukoo na kabila ni mambo ya kukariri tu. Toka kwenye mawazo mgando, maisha ni wewe na wewe ndio maisha. Kuna mdau kasema toa sadaka ya shukrani kwa huyo baba aliekulea kwa upendo na kukutunza hadi chuo. ZINGATIA
Huyo anayejidai kukupa habari,mpotezee kabisa si mwema kwako.Mzee yupi ataniharibia mkuu?
Asante sana Mentor, nadhani nimekuelewa vyema hasa hapo kwenye namba 5. But i wonder what is wrong with some folks as they always seem to notice faults.1. Naomba ku-subscribe kwenye hii thread. Usiache kuja kutupa mrejesho mkuu
2. Mara nyingi tunapoomba msaada tunakuwa tayari tuna upande wa majibu ambao tunautamani kuusikia. Inapotokea mtu akakujibu tofauti na matarajio yako ni rahisi kukasirika na kuanza kujibu vibaya (hata kama yeye ndiyo kaanza kukutukana).
3. Mwisho wa yote, maamuzi ya mwisho utayafanya wewe na yatakayojiri utayabeba mwenyewe. Hivyo chukua shauri zote kisha ziweke kwenye mizani. Yaani kwa sasa, chukulia kama pande zote mbili ziko sahihi. ondoa jibu ulilonalo kichwani. Tafakari kwa kupima.
4. Baada ya kusoma mabishano ya comments kadhaa ninachelea kutoa maoni yangu ila nikusihi uwe na msimamo wa peke yako. Sikiliza ushauri (hata matusi na maudhi) kisha fanya maamuzi yako binafsi. Muombe sana Mungu (kuna nyakati nimeshindwa kujua kama unaamini mizimu au la) lakini nikusihi kuomba sana juu ya hili. Maadamu ni box lililokwisha kufunguliwa ni ngumu sana kulifunga bila kutaka kujua kilichopo ndani. Kuna nyakati ni baraka na kuna nyakati ni heri kutochungulia..again, unahitaji tafakuri sana.
5. Usipunguze heshima yako kwa baba yako. Umeshajua ukweli, huwezi kuufukia na kujifanya huujui. Usiache kumheshimu na kuendelea kumuita 'baba' hata kama utaamua baadaye kumtafuta na hata ukimpata huyo mwingine.
6. WADADA: Mimi ninalia na dada zangu..mnaona yanayotokea kwa huyu? Basi iwe funzo kwenu. Tutapiga kelele kuwasema vijana wasiojali watoto wao lakini ni vyema mtambue, mwisho wa yote mzigo mkubwa unatua kwenu. Kwenye suala la mimba aisee, jukumu kubwa ni lenu. BE VERY WISE.
Salaam.
An advice can be positive or negative for the person receiving it (as you said) and I'm okay with that, lakini kama ushauri kwako ni kashfa au kejeli then you can keep your advice for yourself as your advice to me is neither +ve nor -ve but rather insultsKweli ni chungu.
Tatizo unataka ushauriwe kwa kuunga mkono ulicho amua.
Hujui maana ya ushauri.
Ukija kuomba ushauri, hupaswi kuwa na majibu yako kichwani, unapaswa kuwa open kusikiliza kila mmoja anasemaje, then ndio una amua.
Na tena ulupaswa kuomba hata kabla ya kumface mama yako na kumwuliza maswali hayo.
Sasa kama unataka tukushauri kwa kupendelea upande wako basi ngoja tukae kimya.
Oh thank you, though I'm having nightmares alreadyMAMA anakujua WEWE A TO Z in fact she has all that meant YOU...una bahati kuanza kujua UKWELI wakati mama yako yungali HAI. Ungepata a very complicated nightmare kuanza kujua WEWE NI NANI in ABSENCE of your MAMMA, she CLEARLY KNOWS WHO IS YOU ...uliza upate majina ya mshua then make tracing ukiwa na POSTIVE MINDSET like unafanya VALUABLE EXPLORATION....
BE THANKFUL TO ANYONE WHO CAME IN LIFE WITH YOU... ZAIDI SANA BE PRAYFUL AND THANKFUL
....sikiliza sana wimbo wa DEAR MAMMA...wa Pac whenever you feel SICK .
I'm independent already! I don't know what happened to him, he may even be dead, who knows?! Thank you anywaySubiria utakapopata kazi ukaanza maisha rasmi anza chapter hyo....kumbana mama akueleze nsawa na kumlazimisha asaliti kiapo chake cha kuishi na Mzee wako. Pengine utaamsha mambo mengi yasiyopendeza na kugawanya familia yenu hasa wewe na nduguzo au ww ukawa muhanga mkubwa...hvyo Mama kukuambia ukweli ni 3%....ukianza maisha anza tumia Babu na bibi na Wazee wakijijini kuanza mtafuta tena jitqhidi mission hyo kuifanya undercover isiwe wazi sana...Sababu kwann Mzee wako nae ackutafute nae na asiwe na hata na Mawasiliano walau na Babu na bibi yako Miaka yote akae kimya kama kwel anawajari wanawe.....think twice Kwa hilo pia
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Asante nilifanya hivyo with my first salary on theend then What? walk away from ordinary life...mambo ya ukoo na kabila ni mambo ya kukariri tu. Toka kwenye mawazo mgando, maisha ni wewe na wewe ndio maisha. Kuna mdau kasema toa sadaka ya shukrani kwa huyo baba aliekulea kwa upendo na kukutunza hadi chuo. ZINGATIA
Asante nilifanya hivyo with my first salary on the altar kama malimbukoend then What? walk away from ordinary life...mambo ya ukoo na kabila ni mambo ya kukariri tu. Toka kwenye mawazo mgando, maisha ni wewe na wewe ndio maisha. Kuna mdau kasema toa sadaka ya shukrani kwa huyo baba aliekulea kwa upendo na kukutunza hadi chuo. ZINGATIA
Mkuu unafikiri nini hasa lengo la Oldman kukuita na kukueleza yote hayo?Asante ndugu
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
It has just came out of a blue, i never thought i would bump with such kind of information before, now that everything is set before me, i can hardly pretend like i know nothing and stay muted, i just can'tHuyo anayejidai kukupa habari,mpotezee kabisa si mwema kwako.
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Haya, anzisha ukoo wako.Sasa wewe Maserati unaniona mjinga kwa lipi labda? Kwani nimesema namdharau mlezi wangu? Mbona i have explained everything in detail!! Mambo ya kusema kunao watu wanatamani wangepata wakuwa somesha inatokea wapi?? Kwa hiyo ni mimi nimeziba nafasi zao au unamaana ipi? This is a no brainer situation, from what i know each and everyone of us have our lives written by THE MOST HIGH before the foundation of the entire universe, point yangu ni kwamba maisha unayo ishi wewe yalijulikana kabla hata hujazaliwa haijalishi umeangukia mikononi kwa nani, hata kama asingekua huyo ambae amekua msaada kwako bado it could not change what the nature has decided for you, Trust me angetokea mtu mwingine ili tu maandiko yatimie.. So don't tell me I'm lucky because it was supposed to be that way and this doesn't change my desire to know who I really am!! Let the nature take place and the nature is God himself [emoji115]