Imwase
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 500
- 507
Sikiliza pharaoh_2,una haki kabisa ya kumjua your biological father,ni muhimu sana sana.asili yake ni wapi,kabila lake na ikibidi hata ndg zake.huyo baba aliyekulea ni kwamba amekulea na kukupa mwongozo wa maisha,muheshimu sana sana na umuenzi kadiri ya uwezo wako.Hapana nadhani hujanielewa i respect him as my father lakini kama kutaka kujua mimi ni nani at a first place ni makosa then God the almighty will forgive me, you just got me wrong i guess
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
so far mama yako hajakueleza matatizo ya baba yako mzazi.
Mtafute baba yako mzazi ujue kwa nini alikutelekeza,lakini nadhani umeandika hapo kwamba alikuja lakini kachezea mkono.
Mtafute ujue kulikoni
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app