Huyu ndugu yangu namkaribisha sabasaba ili apunguze mawazo aliyo nayo ya kutaka kuvuruga familia. Namkaribisha kwenye mabanda yangu ya maonyeho ya bidhaa zinazotaokana na mende. Namkaribisha ajipatie maziwa ya mende. ambayo ya protini ya kutoshaMkuu wengi wana elimi ila hawajaelimika. They have education but they are not educated
Ikitokea umezaa na dada yako utajisikiaje? Obviously hautakuwa poa psychologically hata kama watoto wako poaKama hakuna kasoro iliyojitokeza kwa watoto sidhani kama kuna haja ya kushughulika na mambo yaliyopita. Shida nyingine ni namna jamaa anavyotaka kushughulikia hili suala
maziwa ya mende?Huyu ndugu yangu namkaribisha sabasaba ili apunguze mawazo aliyo nayo ya kutaka kuvuruga familia. Namkaribisha kwenye mabanda yangu ya maonyeho ya bidhaa zinazotaokana na mende. Namkaribisha ajipatie maziwa ya mende. ambayo ya protini ya kutosha
Unauliza? vp unataka kiasi gani?maziwa ya mende?
Braza unajua madhara ya jamaa anachotaka kukifanya jamaa? Jaribu kufikiri kwa mapana yake ndio uongee. Kingine rejea jamaa alichojibiwa na mama yake. Hata kama akimpata huyo mzee wake ataanza kumuuliza amezaa tena na wanawake wangapi? Labda ukute mzee ana busara ndio amwambie kwamba ana ndugu zake vinginevyo hakuna jipya. Na mimi nachelea kusema hakuna namna yoyote utanishawishi huyo mzee anayemtafuta ana busara kwa sbabu kama mtu anasepa anaiacha familia yake kwa mambo yake anayoyajua yeye.Ikitokea umezaa na dada yako utajisikiaje? Obviously hautakuwa poa psychologically hata kama watoto wako poa
Don't take it easy muacheni jamaa amtafute baba yake hadi atakapoona there is no way anaweza akampata
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Broo mi nadhani kama anataka kumtafuta baba ake amfuate yule bibi aliyeliamsha dude ndio atakua na details zote. Lakini kwa sasa awaache wazee wake wamalize uzee kwa usalama vizuri haitakua busara kuwasumbua.Ikitokea umezaa na dada yako utajisikiaje? Obviously hautakuwa poa psychologically hata kama watoto wako poa
Don't take it easy muacheni jamaa amtafute baba yake hadi atakapoona there is no way anaweza akampata
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Jamaa anachotaka ni kumfahamu baba yake mzazi na hata akimuuliza kuhusu watoto zake wengine aliozaa na mama wengine sioni kama kuna tatizo hapoBraza unajua madhara ya jamaa anachotaka kukifanya jamaa? Jaribu kufikiri kwa mapana yake ndio uongee. Kingine rejea jamaa alichojibiwa na mama yake. Hata kama akimpata huyo mzee wake ataanza kumuuliza amezaa tena na wanawake wangapi? Labda ukute mzee ana busara ndio amwambie kwamba ana ndugu zake vinginevyo hakuna jipya. Na mimi nachelea kusema hakuna namna yoyote utanishawishi huyo mzee anayemtafuta ana busara kwa sbabu kama mtu anasepa anaiacha familia yake kwa mambo yake anayoyajua yeye.
Siyo bibi ni babu na hajui details zote kwa mujibu wa yeye mleta madaBroo mi nadhani kama anataka kumtafuta baba ake amfuate yule bibi aliyeliamsha dude ndio atakua na details zote. Lakini kwa sasa awaache wazee wake wamalize uzee kwa usalama vizuri haitakua busara kuwasumbua.
Iwe bibi au babu.. Nielewe ninacho sema. Atafute njia nyingine otherwise asiwasumbue wazee walio mlea. Mahakama yenyewe ilisha ona ivyo.Siyo bibi ni babu na hajui details zote kwa mujibu wa yeye mleta mada
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Ukiniambia ni kijiji(mahali),wilaya na mkoa gani mama anatokea na huyo mzee alipo na ndugu zako walipo basi kazi inaweza kuwa rahisi kwa upande wangu.How can this be possible?? I will be glad if you can help cost doesn't matters for sure
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
nataka kujua ni maziwa gan hayoUnauliza? vp unataka kiasi gani?
Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
Hujafatilia mtililiko wa comments huyo babu/bibi hana details zozote za huyo mtu zaid ya alichomwambiaIwe bibi au babu.. Nielewe ninacho sema. Atafute njia nyingine otherwise asiwasumbue wazee walio mlea. Mahakama yenyewe ilisha ona ivyo.
Kiongozi nimekuelewa. Nawatakia kila la kheri katika harakati za ufukuzi wa makaburi.Hujafatilia mtililiko wa comments huyo babu/bibi hana details zozote za huyo mtu zaid ya alichomwambia
Kuhusu wapi hata pata details nilishasema huko juu awatafute hata marafiki wa mamake wale best friends huenda kuna kitu wanachojua
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa anataka kuleta issue zake za kidizaini, nikuhakikishie hiyo fadhila/heshima aliyoipata huyo dada kwenye familia yenu huyu jamaa asitegemee kwa mjeda coz alishatimiza wajibu wa kumfikisha jamaa alipofika. Hivyo kama analeta jeuri ataishia kunyea kambi, Tangu lini baba aliesepa akamkubali mwanae?Nyumbani kwetu timeishi na Dada ambaye hadi saivi amejifungua watoto wawili,tangu mwanzo tulijua kuwa ni Dada yetu kumbe hapana, mama na baba waliamua kumlea baada ya kumchukua kijijin, alipopata taarifa kuwa huyu siyo baba yake wala siyo mama yake,alijibalaguza na kuanza kuleta dharau baba alimruhusu akamuone baba yake mzazi.
Unajua kilichotoke; mzee yule pia alikuwa na watoto wengine tena wakubwa kazi ilikuja kumkubal yy kama mdogo wao sababu hawajakua nae.
Namwisho wali mtenga na kumdharau mimi moyo uliniuma sababu tulishamzoea hivyo tulimshaur mzee amfate tuje twendelee kukaa nae,mzee alikubali na hadi saivi tupo nae na tunamweshimu kama kawaida.
My take mfatilie kwanza babaako huyo kama kwel familia yake itawkubali.
Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Mimi nasisitiza kwa uchumi wetu wa viwanda hatuna muda wa kuhangaika na haya mambo, kwanza hajatuambia alisoma nini chuo tumpangie majukumu kuendana na Mpango wetu wa Maendeleo. Hakuna blabla hapa. Kazi tuu....Mkuu vitu unavyovitafuta havina faida yeyote katika maisha ya sasa, chamsingi endelea kumtambua tu huyu baba yako wa sasa , kwan unakitafuta ni kujiumiza roho tu, kwan ww mpaka umri huo umeishi vizur tu bila shida yeyote na kupata raha kutoka kwa baba mwingine, cha kukushuri fikiria tu huyo babu aliekwambia hizo story ni muongo na utendelea kuishi kwa furaha tu, ila unachokitafuta ni msongo wa mawazo tu usio na faida yeyote katika maisha haya ya sasa, ni hayo tu mkuu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Wewe njoo kwenye mabanda yetu utajionea, fanya fasta coz ndio tunakaribia mwisho wa maonesho. Ofa zipo pia. Ukinunua glasi moja unapata moja bure. Karibu sana ndugunataka kujua ni maziwa gan hayo