Sifahamu mimi ni nani

Asante ndugu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli but it's okay i can take it now.. though I never thought that one day in my life i would have to search for the real me, no option, because I'm on the receiving end let the nature take place
 
Hakumjali vipi wakati alikwenda kwa ajili ya wanawe akaishia kupigwa!!! ????
Umesoma vizuri mkuu? Aliishia kichapo kupelekwa mahakamani na akashindwa kesi kwa sababu hakuwa na mchango wala msaada kwa familia, umeelewa ndugu? Hata mahakama iliona hana mchango.
 
Excellent kabisa, ni haki na wajibu wa kila binaadam kujua root yake, haijalishi ni nani au ni nini,
anaweza pata matatizo na ikahitajika tiba ya kimila (God Forbid) wao wanakazana na 'kichaga' kumbe mwenzao 'msambaa'
Lol

Culture Gal.
Most pressing as per now, i also have some kind of spiritual complications and i possibly have no one i can vent to not because of my introvert nature but because i don't have anyone to turn to when necessary [emoji32]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kaka

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Guys, like seriously! man up brother, shit happens, you need nobody to turn to. You mustn't go with that vibe, Girls need shoulders to lean on, but guys we are masters of our fate and captains of our souls (William Ernest Henley)
 

The only person you can vent to is your inner person - your God. How do you know things would be ok if you knew your biological father? You are trying to run away from your weaknesses by trying to project them to something else. Many people have had authoritarian biological fathers and they did not look for "their ideal" fathers to mend their inadequacies. Your biological father is not going to solve any of your emotional or personality issues. Be careful with your obsession; it is changing your perspective.
 
Okay i understand but as a person i only thought maybe, it would turn out to be fine and also have that peace of mind after having the answers for all these questions, but i believe that understanding a problem is a halfway of solving it, though i don't have any clue as to what may be the next move after turning tables, I'll take your advice anyway

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Rudi kwa yule mzee atakupa mwangaza wa wapi alipo baba yako au ndugu zake lakini pia ulizia rafiki wa mama yako wa wakati huo naamini hawawezi kukosa story za baba yako ambazo zitafanya ujitambue walau kwa uchache.
.
.
La hasha nipe deal nikutafutie baba yako au ndugu zako upande wa baba yako kwa malipo.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app

 
 
How can this be possible?? I will be glad if you can help cost doesn't matters for sure

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Nilipokusoma mwanzo na baada ya kusoma comments nyingi humu, kidogo na mimi nikwambie achana na mawazo ya huyo baba, ila baada ya kukusoma in deep na kusoma comments za baadhi ya watu naona kuna umuhimu wa wewe kumjua huyo baba hata kama hayuko hai basi hata ndugu zake au ukoo wake, mana hata ukisema uachanane na hilo la kumjua baba yako, utabakia na maswali mengi na ninge nisinge nyiiingi kiasi kwamba naona u will never have a peace of mind or even find real happiness, my advice find him, na ikibidi jaribu hata kumwambia huyo mzee aliekulea kwamba u need to find you biological father ili atleast uweze kupata amani na labda majibu ya maswali unayojiuliza concerning hali ya maisha na tabia na mambo mengine ambayo unahisi labda kumjua baba yako kutaleta ufumbuzi kwako na kwa kaka yako, na hata kama hutapata majibu or wherever basi angalau utapata amani
 
Kama alivyokujibu mama yako. Tembea na hisia za mama yako.
Mheshimu saana baba yako mzazi ambaye we sasa unamuita mlezi lkn ukiheshimu maneno ya mama yako utamuita baba mzazi.
Kabila ndo nn? Kuza watoto wako ktk njia sahihi za malezi epuka zile njia za uzururaji na kutojali kutoa Huduma kwa watoto wako.
 
Niungane na wewe kwa kauli moja kwamba jamaa anatakiwa aoneshe ujasiri wa hali ya juu na sio kuendeshwa na hisia, ndio sababu mzee kaamua kumpeleka jeshi ili kuongeza kiwango cha ujasiri. Kingine huyu jamaa naona shule yake ina mushkeli kidogo kwa sababu haiwezekani mtu unaanza kuwaza mambo ya ukabila ilihali unajua tz haina ukabila. Labda kama unataka kutambika sawa, vinginevyo haina maana yoyote. Kingine anatakiwa kumheshimu sana huyo mzee pamoja na mama yake kwa sababu jamaa angekuwa na roho mbaya huyu bwana mdogo ungekuta ni chokoraa sasa hivi. Kwa hiyo atulize akili ili atusaidie kama taifa katika masuala mazima ya uchumi wa viwanda coz hayo anayotaka kuanzisha hayana tija kwa Taifa wala familia.
 
Vipi ikitokea akapata mchumba ambaye ni dada yake? Mtoto wa baba yake halisi? Halafu wakadumu kwenye mahusiano wakapata na watoto then after some years anakuja kurealize kwamba ni dada yake wa damu?

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wengi wana elimi ila hawajaelimika. They have education but they are not educated
 
Vipi ikitokea akapata mchumba ambaye ni dada yake? Mtoto wa baba yake halisi? Halafu wakadumu kwenye mahusiano wakapata na watoto then after some years anakuja kurealize kwamba ni dada yake wa damu?

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kama hakuna kasoro iliyojitokeza kwa watoto sidhani kama kuna haja ya kushughulika na mambo yaliyopita. Shida nyingine ni namna jamaa anavyotaka kushughulikia hili suala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…