Mwanaume wa ukweli anatakiwa awe na wake wanne na sio nyuma ndogo
Mimi ni mwanaume wa ukweli.
Mimi ni mwanaume wa ukweli.
HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume wa ukweli ana msimamo[akisema yes ni yes no ni no,sio kama bendera ana yumbishwa na upepo 3 mwanaume wa ukweli halumbani na mwanamke,ukishindana kuongea na mwanamke utaaibika[kama anazingua sana mchape vibao sio maneno],...endelea
samsoni alikuwa mwanaume wa ukweli akamuamini mwanamke wake kilicho mpata....hawa wakina hawaa sio wa kuwaamini asilimia zote bana,ishinao kwa machalemwanaume wa ukweli hamwamini mwanamke wake. piga ua, chinja, leta ndinga kanyaga.