Sifaa za mwanaume wa ukweli...

Sifaa za mwanaume wa ukweli...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume wa ukweli ana msimamo[akisema yes ni yes no ni no,sio kama bendera ana yumbishwa na upepo 3 mwanaume wa ukweli halumbani na mwanamke,ukishindana kuongea na mwanamke utaaibika[kama anazingua sana mchape vibao sio maneno],...endelea
 
mwanaume wa ukweli anajali familia yake na ni muwajibikaji kotekote, anapenda na kuilinda familia, anatoa sio mbahiri/mchoyo, anajua watoto watasomaje, ni yule anayejituma kwa shughuli ili kuongeza kipato cha familia, Mwanaume wa ukweli hapendi kulelewa na mashugamami

Hapo penye kujali familia ndio kila kitu..........1.shule 2.malazi 3.afya 4.usalama/ulinzi 5.furaha etc..etc....ila panahitaji msaidizi(mwanamke) wa ukweli kama alivyo mama Igwe.....maake wengine ni magumashi.
 
mwanaume wa ukweli anajali familia yake na ni muwajibikaji kotekote, anapenda na kuilinda familia, anatoa sio mbahiri/mchoyo, anajua watoto watasomaje, ni yule anayejituma kwa shughuli ili kuongeza kipato cha familia, Mwanaume wa ukweli hapendi kulelewa na mashugamami
natafta nikugongeee like
 
mwanaume wa kweli hampi binti mimba akakimbia...au kukataa majukumu yake kama mwanaume,sio unajiita baba kulea walee wengine,mwanaume wa ukweli
 
Mwanaume wa kweli anapenda kwa dhati
 
HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume wa ukweli ana msimamo[akisema yes ni yes no ni no,sio kama bendera ana yumbishwa na upepo 3 mwanaume wa ukweli halumbani na mwanamke,ukishindana kuongea na mwanamke utaaibika[kama anazingua sana mchape vibao sio maneno],...endelea
mwanaume wa ukweli na hekima, anajali na kuheshimu wengine anajali familia yake ampende mkewe muwajibikaji.
 
Back
Top Bottom