Sifa za wanawake wenye ndevu

hakuna lolote hivi waafrika lini tutaacha imani zakijinga? Ndio maana mnaishia kuuwa albino kwa imani potofu wanao wauwa maalbino ndio hivi hivi wanadanganywa ? Eti watamu, mara matajiri ohh waume zao wanahela
wizi mtupu mtabakia kuibiwa kila siku kwa imani finyu bila kutumia akili. g
 
Mimi ni mwanamke mwenye ndevu mama yangu anazo bibi yangu mzaa mama anazo dada yangu anazo na wote hao wanaishi maisha yakawaida sana tu na wote wanaishi na waume zao hakuna aliekufa
Wala kuachwa kwa swala la utamu hapo cjui maana kila mtu ana siri yake ila mm kila mwanaume niliewahi kuwa nae huwa ananicfia kua ni myam na watofaut kuliko alikwahi kuwapitia ila nina maisha ya mawaida tu na bado cjaamua kuolewa pia hakuna mwenye maisha magum kiivo niyakawaida sana msituogope wala kutuona sisi ni watofaut

oi Kumbe Kuolewa yaani Ukiamua tu...mmmh! wasichana wengi nijuavyo wanatafuta wa kuwaoa ila ndio waowaji huwa hatuwaelewi dhamira yenu
 
To be honest, wengi wenye ndevu original, sio zile zinazotokana na mkorogo, huwa wanakuwa na kingekewa sana cha hela, wote wa design hiyo ninao wafahamu wana hali nzuri sana ya kipato na wengi wao huwa wazuri na watamu sana kitandani. Kimsingi wanafanana sana na wale wanaoanza kupata mvi ujanani, wanawake wanaoota mvi ujanani na wengi mpaka sehemu zao za siri, huwa wanahela sana na ni watamu sana kitandani.

Hapo kwenye red nina wasi wasi.
 
Mhh!! Mbona mie nina ndevu na viji nywele kifuata na hata mustachi na niko poa tuu,Mwanamke kuwa na ndevu ni maumbile tuu wala hakuna utamu.uchungu wala nini
Japokuwa sina experience na haya mambo, ila bibie naomba utambue kuwa siku zote siri ya mtungi ajuae kata bwana, hasa hapo kwenye swala la utamu hapo nahisi hata kama sio wote mnasifa hiyo basi wengi wenu labda mtakuwa na hiyo sifa.......maana najaribu kujiuliza iweje wanaume wengi wasisitize hilo?
 
Japokuwa sina experience na haya mambo, ila bibie naomba utambue kuwa siku zote siri ya mtungi ajuae kata bwana, hasa hapo kwenye swala la utamu hapo nahisi hata kama sio wote mnasifa hiyo basi wengi wenu labda mtakuwa na hiyo sifa.......maana najaribu kujiuliza iweje wanaume wengi wasisitize hilo?

Yaa,nimesikia pia,wanaume wengi huwa wanasema hivyo,kwamba ni watam n its true
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom