Sifa za wanawake wenye ndevu

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
habari zenu wanaJf.....

Leo katika pita pita zangu tukakutana na jamaa ambae hatumfaham kabisa alimwangalia shost af akaanza kama utani vile,..dada nimependa hizo ndevu zako!..nikatie basi hata kamoja. Tukachukulia kama utani, heee kumbe jamaa alimaanisha akaanza kamganda shosti angu akimdai amkatie kandevu hata kamoja,....wengine wa pembeni walicheka na wengine wakitoa tafsir mbalimbali za mwanamke mwenye ndevu..

Naomba niwaulize wanajf nini sifa na tafsiri kamili kwa wanawake wenye ndevu?:confused2::confused2:
 
watamu haoooo!
 
Ni wazuri sana ktk kale kamchezo. Mimi nilijaribu nakupa ushauri.
 
Wanawake wenye ndevu kwa ushahidi nilio nao ni WATAMU SANA PINDI UNAPOKUWA UNAWALA KIBOGA.
 
wana nguvu hao.......huwezi kuta mwembamba hata siku moja ana ndevu
 
To be honest, wengi wenye ndevu original, sio zile zinazotokana na mkorogo, huwa wanakuwa na kingekewa sana cha hela, wote wa design hiyo ninao wafahamu wana hali nzuri sana ya kipato na wengi wao huwa wazuri na watamu sana kitandani. Kimsingi wanafanana sana na wale wanaoanza kupata mvi ujanani, wanawake wanaoota mvi ujanani na wengi mpaka sehemu zao za siri, huwa wanahela sana na ni watamu sana kitandani.
 
ni wakali wana hasira hakuna mfano....sijawahi kuwala, kwa kitandani siwezisema chochote.
 
Ni imani tu, sometimes mambo tuaminiyo hata kama sio kweli huwa granted.
 
Mbona wamependelewaaa....... utamu na utajiri pia, loo.

To be honest, wengi wenye ndevu original, sio zile zinazotokana na mkorogo, huwa wanakuwa na kingekewa sana cha hela, wote wa design hiyo ninao wafahamu wana hali nzuri sana ya kipato na wengi wao huwa wazuri na watamu sana kitandani. Kimsingi wanafanana sana na wale wanaoanza kupata mvi ujanani, wanawake wanaoota mvi ujanani na wengi mpaka sehemu zao za siri, huwa wanahela sana na ni watamu sana kitandani.
 
Many women, especially those going through menopause or who have gone through it, get more facial hair because they have less estrogen. Many women who are younger when they get extra facial hair get it because of a hormone imbalance. Too much testosterone or not enough estrogen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom