Ila 1 na 3 ni kweli?2,4,5,6 sio kweli
Cc Miss natafuta
Ila 1 na 3 ni kweli?2,4,5,6 sio kweli
Cc Miss natafuta
Mtoa mada tunaomba na tabia za wanaume wavivu tuwajue ili tuwaepuke.
Kwani wanaishi sayari nyingine tofauti na hii duniaUlijuaje!!
Kazi IPO.....!!!Mwanamke mzuri wa sura,rangi na umbo asie na akili wa nini sasa si bora ufuge nguruwe utamla nyama.
1 ndio sanaIla 1 na 3 ni kweli?
ahahaa hainihusu bna nakula kwa bill yangu naishi kwa bill yangu tena kwa rahaMiss Natafuta unaitwa huku
ahahaa hainihusu bna nakula kwa bill yangu naishi kwa bill yangu tena kwa raha
hii ndiyo sahihihao uliowataja ni wapenda pesa au wachunaji...au mashanging!
kama umemuoa muachie pesa ya kunnua bati mwenzio anaenda kufunga mtaa kwa nguo au anaenda kutunza!!
nina uvivu sio wa kiivo ni wa asubuhi tuKisa ulisema kuwa u mvivu, hawajui unatania.
ahahaa hainihusu bna nakula kwa bill yangu naishi kwa bill yangu tena kwa raha
kwani mimi sio mwanamke?Ila uzi umezungumzia wanawake, no? Just kidding.
kwani mimi sio mwanamke?
Ukiona kila kitu anaachiwa beki tatu we mwambie tu na swala la unyumba awe anatoa beki tatuMvivu ni mvivu lakini hata awe na Bill yake, huwa huwa na gubu kama sio kisirani. Kazi zote humwachia House girl.
Hakika ni bora kaburi kuliko ukutane na species kama hizo