Sifa za wanawake wavivu

Sifa za wanawake wavivu

ni sawa lkn bado unaweza kumubadilisha akawa mchapa kazi kweli kweli

kama ilivyo ngumu kubadili tabia yako mwenyewe, vipi kubadili ya mwenzako. Cha Msingi epuka kadhia hiyo, utakuja kujuta hapa
 
Hii kama kweli. Kuna mmoja huyo sifa karibia zote anazo... na alinipa wkt mgumu sana. Nashukuru Mungu aliondoka mwenyewe... kwa kibur chake .
 
looihh!mie namkorogo wangu sina soko

Nyie wa mkorogo mwafaa kwa nyumba ndogo.
Ikumbukwe kuwa Wanawake ni wengi ila Wenye sifa ya mke ni wachache. Pia wengine ni mapambo na viburudisho tuu kwa wanaume. Hawa wa Mikorogo ni muhimu kwani hutumika katika sherehe kutokana na kujipamba kwao
 
Hii kama kweli. Kuna mmoja huyo sifa karibia zote anazo... na alinipa wkt mgumu sana. Nashukuru Mungu aliondoka mwenyewe... kwa kibur chake .

Wanawake wa hivi tunawajulia saana, maana akili hawana
 
Kweri kabisa na ukitaka kufa kabla ya siku zako kosea mwanamke wa kuoa ukutane na mwnamke kama anaye zungumzwa hapo ni shiiida. Kosea maisha usikosee mwanamke wa kuishi naye kama mke umeliwa
Nilivyomwepesi kupiga kibuti sasa...!!!!! Yaani mwanamke akizingua tu namwambia TOKA
 
I hate when girls say "I need a guy that can handle me..

" You are a FEMALE ! not a zoo creature . Handle ya DAMN SELF ."
 
I hate when girls say "I need a guy that can handle me..

" You are a FEMALE ! not a zoo creature . Handle ya DAMN SELF ."

Wa hivi tunawajulia maana tunajua Janja ya nyani ipo mkiani.
Wanawake wa hivi uzeeni hupiga yowe kila pahala wasimwone wa kuwasaidia.
Tena awe hajasoma ndio utamwonea huruma
 
Wa hivi tunawajulia maana tunajua Janja ya nyani ipo mkiani.
Wanawake wa hivi uzeeni hupiga yowe kila pahala wasimwone wa kuwasaidia.
Tena awe hajasoma ndio utamwonea huruma

haha janja ya nyani ipo mkian..

kwahio unatumia then unamtema?
 
haha janja ya nyani ipo mkian..

kwahio unatumia then unamtema?

Hawa tunawazugaga tuu, tunakula na kunywa divai isiyotiwa chachu na wao kwa miaka Miwili au mitatu then tunaanzisha visa vya talaka.
Ikishafikia hapo tunatafuta Wanawake wachapakazi.

unajua Kama mke ni Mvivu, Uzeeni utapata Shida Saana. Sema baadhi ya wanaume hawaangaliagi mambo ya Uzeeni wanabaki kuangalia Sura za kubandika
 
Kweli mkuu ndio maana hawa wanaojiita madiva ndoa wanazionea kwa wenzao...
 
Mtoa mada tunaomba na tabia za wanaume wavivu tuwajue ili tuwaepuke.
 
Back
Top Bottom