Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,701
Habarini wanajamvi!!
Hakika ni bora kaburi kuliko mwanamke Mvivu. Mwanamke mvivu ni hatari saana kuliko mauti yenyewe, haishi kukupa moshi machoni.
Zifuatazo ni tabia za wanawake wavivu;-
1. Kulalamika na kutoa lawama kwa kila kitu.
Ukiona mwanamke apendaye lawama ima kulalamika basi fahamu kuwa uvivu upo ndani ya bohari ya fikra zake.
2. Kuongelea mafanikio ya jirani huku akisifia wanaume wengine mbele ya mume wake.
Hii ni tabia ya wanawake wavivu, wenye fikra finyu. Wanawake wa dizaini hii huwapa sonono waume zao kwa maneno ya kukarahisha.
3. Wanawake wanaowekeza kwenye urembo.
Wanawake wengi wavivu huwekeza nguvu zao katika kujiremba ndio maana utakuta siku hizi wadada wengi hushinda kwenye saluni. Lakini wanawake wenye hekima huwekeza katika uchapakazi au hata kusoma kama ni wanafunzi.
4. Wanawake wavivu huamini katika maumbile yao.
Tabia hii kwa sasa ndio inakua kwa kasi, wanawake wanaotegemea maumbile yao wanazidi kuongezeka kumaanisha wavivu wanazidi kujaa usoni pa nchi. Usishangae kuona wachina wakitengeneza kemikali na dawa za kuongeza makalio, nyonga na kujichubua. Wachina wameshagundua kuwa wanawake wavivu wanaongezeka hivyo soko lao nalo linakua. Wanawake wa dizaini hii huweza kuiuza miili yao kwaajili ya jambo dogo lenye thamani isiyofika hata laki moja.
5. Wanawake wavivu hutumia mapenzi kama njia ya kufanikiwa.
Ukiona mwanamke anasema kuwa "wewe si ndio mwanaume ndio unapaswa kufanya" basi jua umeliwa, hii humaanisha siku usipokuwepo yupo atakayeshika pahali pako. Hupiga vizinga waume au wapenzi wao na asipopewa hutishia kumuacha huyu Aitwaye mwanaume.
6. Wanawake wavivu humtegemea mwanaume kwa kila kitu
Kwa kuhitimisha tuu, Ni bora Kaburi kuliko ukutane na mwanamke Mvivu.
Karibuni.
~Michaelray