Waliopitiliza ndo wana sifa hzo apo juuUnajua kuna kupenda pesa na kuna kupenda kupitiliza. Baadho yenu wanawake.. mnapenda kupitiliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh we mchawi nn? Ni kweli nasahaugi kushukuru[emoji23]
sauti unayoisikia ndani ya moyo wako ndio inaitwa ukweliNapenda pesa lkn hzo sifa hazinihusu hata moja
Apa ni kweli kabisa me nikikupenda ata sh mia siombiiiMwanamke anayekupenda hawezi kukupiga mizinga waulize
Inna, Numbisa, Miss Chagga, Faiza Foxy, Joanah etc
Ngoja nijisogeze unipende mtoto wa BashiteApa ni kweli kabisa me nikikupenda ata sh mia siombiii
Basi nipende mimiApa ni kweli kabisa me nikikupenda ata sh mia siombiii
Kama vile vitoto vya Udsm na IFMMkuu naunga mkono hoja,ila kwa wasomi wengi ndio wapenda pesa wa kutupa,yaani hao kwa asilimia kubwa ndio balaaaaaaaaaaaaa!
Yule mwenye uhalisia mnapiga chini siku hiyo hiyo...mara oooh siingii lodge ya elf 10 or elf 20..mara ooh sili uswahilin.Sijui nisemeje unielewe,lakin hayo ni mapungufu na tunayakubali maana samaki 1 akioza......
*Sina maana ya kujitetea lkn kiuhalisia wakati mwingine munasababisha wenyewe,utakuta binti kaoga na kwakua umemtaman basi unapiga cm ya uongo ili akuone unazo nn unategemea kifuate?
*Umepanga kutoka na msichana huna hela na uwezo wako wa chini unakopa hela ili umpeleke sehemu ya juu nn unamjenga akilin kwake??
*Sawa umasikin wetu unatufanya tupende hela lkn kumbuka kuwa watoto wa kishua ndio wanaongoza sababu hawajazoea maisha ya ajabu (magum)na ili umuoneshe unaweza unajaa maden na lawama.
*kupenda kwetu hela kunategemea kwa mara ya 1 mtu umemuonesha haligani.
Nb;Sijakataa tuhuma hiyo naipokea mana ni wanadam wenye mapungufu.tuoneshen uhalisia wenu ili tiwapende mulivyo.
Wanawake hawapendi mtu anayejipendekezaDah..... Dem akikuomba laki5 wewe mpe 1m... Ndiyo dawa yao[emoji12] [emoji12]
Kuna mdau mmoja humu, kwenye signature yake alikuwa ameandika hivi, "Japo tunatumia majina feki, lakini mawazo na miandiko yetu inaakisi tabia na hulka zetu"Sio kabisa,kuna watu unaweza wahukumu kwa matendo yao humu huku uraian ni watu tofauti kabisa.
Mie hapa ukinipa hela sikatai ujue. Na pia sio kila aliyetokea familia maskin ndio mpenda hela sana,watu wamezaliwa pesa ipo ila wanataka zaidi na matumizi makubwa. Pesa haina mwenyewe.
Kuna mdau mmoja humu, kwenye signature yake alikuwa ameandika hivi, "Japo tunatumia majina feki, lakini mawazo na miandiko yetu inaakisi tabia na hulka zetu"
tena la kwapani ukikamua vibaya usaha unakurukia mdomoniKama vile vitoto vya Udsm na IFM
Ni jipu khaaaaa!!