Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
-
- #101
Duuuu!!Utakuta mwanamke hajasoma hana kazi yoyote ya kumpa kipato chochote alafu anakuambia anataka kuolewa na mwanaume Mwenye hela,hata sisi wanawake masikini hatuwataki kabisa,ukichanganya shida na pesa,shida zitakula pesa.
Mkuu ni shidaUzi mtamu jitahidini hivi hivi watapunguza kutonyonya damu jamani
Mbona unamtukana mke wangu aiseematako
Ukizoea kuomba hela akili yako yote itaisha then utaona ukipata shida kitu cha kwanza ni kuomba hela. Mimi huwa nilishakaa sehemu nikajiuliza hivi mimi nikiombwa hela huwa namchukuliaje yule anayeomba, nikaja kuona sina sababu ya kuomba hela labda kwa mzazi wangu wa kunizaa tuuMkuu ni shida sana.
Kuomba hela sio shida, shida ni kupenda hela kuliko pitiliza
Wamejaa Sana mjini mkuu.Yeah Ni washamba sana kwahyo kila anacho ona machoni pake ni kipya anajikuta anatamani awe nacho.
Ukizoea kuomba hela akili yako yote itaisha then utaona ukipata shida kitu cha kwanza ni kuomba hela. Mimi huwa nilishakaa sehemu nikajiuliza hivi mimi nikiombwa hela huwa namchukuliaje yule anayeomba, nikaja kuona sina sababu ya kuomba hela labda kwa mzazi wangu wa kunizaa tuu
Imekuingia eeNimebaki kucheka tuu.
Endelea hivyo hivyo
Mapema kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishutuka mapema( in majuto voice)
Kuna mmoja nilimtokea kipindi Fulani akaleta pozi .Wadada wa sikuiz vibom vimezidi. Alaf sikuiz hata wakikuomba pesa kwenye simu. Ukimwambia sina.. utasikia kanuna.. huko kwenye simu.
Unamaanisha nn??matako
Hahahaaha!!Kuna mmoja nilimtokea kipindi Fulani akaleta pozi .
Sasa karudi mwenyewe kwa kasi ya 4g ooooh!!! I love u ohhhhh nioe oooh!!!! Sijui nini nikasema wacha nimsikilizie nione itakuwa coz sikuwa na stimu nae
Baaada ya wiki moja( naona alivumilia sana) nikasikia naomba 10000 nikaweke stiming nywele zangu zinakatika [emoji15] pumbavu sana
Nikamwambia sina na si kweli sikuwa nayo nilikuwa na madafu mengi sana wiki hiyo oooooh basi nipe buku tano ikabidi nimtungie sababu kwamba nimetoka kulipa kodi ya pango,michango ya harusi kibao na Nina mgonjwa akasema OK usiwaze .....[emoji3] tangu siku hiyo kapunguza chats hahahahaah pumbavu zenu mnaopenda pesa
Nishaamua kuwa dume suruali pesa yangu niliyoitolea jasho nitakula mwenyewe na MUNGU(sadaka) na washikaji zangu Wa ukweli mwanamke kuiona pesa yangu tena basi something like business venture in the making ......[emoji3] yaaani "unatoa kitu unapata kitu "Ila wewe uwe Wa kwanza kutoka kitu[emoji2]
Dedication: DUME SURUALI -MwanaFA[emoji12] [emoji13] [emoji14]
hahahahhwe ndanganye mwenzio aje nimbarase
inaendelea mkuuMwanangu michaelray ile story imeishia wap
[emoji3] [emoji119]Hahahaaha!!
We ni jangili
Ni tag mkuu nije maana nilinogewainaendelea mkuu
inapatikana wapiinaendelea mkuu