Sifa za wanawake/wadada wanene

Sifa za wanawake/wadada wanene

1.wepesi wa kusamehe..
2.wanapenda ku please
3.wanatulia kwa mwanaume mmoja
4.wakipenda wanapenda kweli..
5.wepesi wa kuomba msamaha
6.sio wabishi
7.wanajua kudeka na kudekeza
8.watiifu.
9.hawaringi sana.
10.wanasahau haraka.....

kwa ujumla ukitaka kupendwa na mwanamke
chagua mwanamke mnene......
Source please... lol
 
Hii kali ya ilizotufikia.. Kweli kuwa uyaone. Nilikuwa sijui.... Big UP The Boss...
 
Source please... lol
kama wewe ni mwanamke basi jiangalie unaangukia wapi na kama wewe ni mwananume basi mcheki demu/wife wako yupo pande zipi kati hiyo list.......I think this will be the best source
 
Asa kwa wale ambao wako katikati ; si wanene sana lakini sio haba na si wembamba wanaangukia wapi!
@ geoff nilifikiri umeanza kucompare kundi aliloko.........
 
Mmmh!!
Ngoja nimuombe jamaa yangu afanye confirmatory test kwa kumchiti mkewe amabye ni big mama,
 
Kila mmoja aje na kesi yake na aprove, and by the way kipimo gani kinatumika? unene is very relative.
 
Inabidi niongeze kasi ya kula kama mambo yenyewe ndo haya................Naona Boss umetuchoka watu wasio wanene
 
Ah mwanamke mnene acha bana mpaka unachanganyikiwa ushike wapi ung'ate wapi hahaa tatizo linakuja kwenye pumzi hatua mbili tu hoooiii
 
Inabidi niongeze kasi ya kula kama mambo yenyewe ndo haya................Naona Boss umetuchoka watu wasio wanene
Ukijibadirisha kwa maoni ya watu......ndugu utaishia kila mwezi na figa yake..........
 
Inabidi niongeze kasi ya kula kama mambo yenyewe ndo haya................Naona Boss umetuchoka watu wasio wanene

we unatosha hivyo ulivyo...
 
The Boss hata siamini huu uchunguzi wako
sina hakika kama kuna ukweli wowote
Moyo wa mtu umeficha mengi sana ..kusamehe ,ukorofi ,mapenzi ni hulka ya mtu ni si umbo lake
 
Inabidi niongeze kasi ya kula kama mambo yenyewe ndo haya................Naona Boss umetuchoka watu wasio wanene
Na wewe unavopenda kula utakuwa kibulungutu kama kibushuti!
 
Back
Top Bottom