Bishanga nimesoma udism ikiwa udism kweli,enzi hizo kina profesa mwandosya ni vijana wanatufundisha umeme,nidhamu ilikuwepo,vifaa vya kufundishia,madarasa ya kutosha,chakula kizuri tena cha bure,everything was in order CL.I am talking about late 70's.