Sifa za wanaume weupe

Hapa umechemka
 
Makonde yenu yote nimeyapokea ilmradi ukweli nimeusema wanaume weupe hamnivutii popote
Mwanaume anagombania kioo na dadake unategemea afanye kazi nzito? Du pole bidada ningemlipia alicho kufanyia huyo cheupe, wanatudharirisha wanaume.
 
Hahahaha vyeupeeee mmenuna leo!!!! Sio mimi jamani ni kapeace
Wala sina shida. Ila ukweli utabaki kileleni. Katu hutobahatika. Sizitaki mbichi hizi.
 
Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusi
na mfupi

Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusi
nani atam-beba?

Acheni kujifanya,
hahaha ila mtoto mdogo akiwa mweusi hata stimu ya kumbeba inaishia hapo
 
Si umesema wanaume weupe hawapigani sasa umdake yanini tena
kwani nimesema nikimdaka nitampiga ngumi au makofi? labda unionyeshe nliposema hivyo kwanza
 
Sema unatuonea wivu tu
 
Sema unatuonea wivu tu
 
Wanawake watasema mengi ila kiukweli hakuna mwanamke anataka kuzaa mtoto mweusi
na mfupi

Emb fikiria katoto kadogo kakiwa keusi
nani atam-beba?

Acheni kujifanya,

Hiyo ni nondo nzito. Tusubiri majibu yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…