no .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo.
....Ni kweli smile...ni mbaya sana kuwa na kitambi...inabidi kupigana nacho sana....ukiwa na kitambi hata kama unaakili lakini watu watakudharau tunashukuru mungu mi nimekitoa kitambi ovyo kabisa dr
Nanii zao ni ndogo kama kidole cha mwisho, wanapenda style za kukaliwa kwa kuwa wanaamini ndio wanamfikisha mwanamke atakapo, wanawanawake wengi kwa tatizo la kutokujituma kwao huogopa kuachwa inabidi kuwa na nyumba ndogo nyingi zaidi, huwa ni bahili sana hata kama anapesa nyingi hatoi izo ni sifa zingine za wenye vitambi, bila kusahau wanakoroma sana utadhani wametoka kulima baada ya bao moja tu la dk 5
Smile hao wa mama umeshindwa kuwakatalia hapo kwa red au? si jana wewe mwenyewe umesema hivi 'si kweli wanaume wenye vitambi ni watamu kweli' kwenye uzi wa Zahra Whiteno .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo.
no 2......pia ilibainika wanaume wenye vitambi wana ushawishi mkubwa kwa wanawake yaani wanakubaliwa haraka..labda wanawake wanadhani hivo vitambi vyao vimesheheni mifwedha na kuwakataa ni sawa na kupiga gunia la hela pesa.kwa hiyo huwa wanakubaliwa haraka sana.
no 3........wanaume wenye vitambi wanajali sana nyumba zao ndogo kuliko hata familia zao...hawaogopi lolote wakihamia ni wamehamia...kwao liwalo na liwe
no 4......wanaume wenye vitambi ni wafujaji wa hela kwa kifupi sio watu wa kuujali saana kuhusu utoaji wao...kwao chop chop money i don care ndo kauli mbiu yao...
no 5.....wanaume wenye vitambi hawana
no 6....wana bahati ya kupata hela .wengi wana hela hela ila ndo hivo zinaishia kwa wanawake...misosi na pombe na michemsho.
no 7....ziro in bed
source.saloon ya wamama!
Kwa ufupi ukiwa na kitambi wanawake wanaambiana 'huyo mgeni wa vingunguti kaja ' lol
weeeeeSmile na Zahra White naona leo lenu moja...
sio wote kakaSmile hao wa mama umeshindwa kuwakatalia hapo kwa red au? si jana wewe mwenyewe umesema hivi 'si kweli wanaume wenye vitambi ni watamu kweli' kwenye uzi wa Zahra White