Sifa za wanaume wachaga wa Kibosho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za wanaume wachaga wa Kibosho

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Amney, Apr 15, 2012.

 1. A

  Amney Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello,jf naomba mniambie sifa za wanaume wachaga wa kibosho
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  wanamme wa kibosho ni wanamme.

  Kwani wewe ni mwanamke wa wapi?
   
 3. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi ni dume la kibosho, ulikua unasemaje switii?
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wana sifa halisi kama za huyo uliyenae!
   
 5. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo:

  1. Wagomvi sana.
  2. Walevi. Wakilewa wana makelele sana.
  3. Wachafu sana.
  4. Wana mikono birika- wabahili sana.
  5.Nilimsikiaga mama mmoja akimwambia mwenzake:"Wanaume wa kibosho ni magoigoi kitandani."

  Mfanyie intavyuu ulie nae uone.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmmh
   
 7. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  me nafikiri kila mtu anatabîa zake, make kuna wakaka flan wakibosho mkubwa kwel ni mchafu,yupo rafu kwel hajijali pia ni mbahili. ila mdogo wake ni smart ukienda kwake utadhan ana mke,ni mtoaji na anaemjal gf wake!
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Wanaume wa kichaga wakioa mwanamke mwenye hela huja kum-kill badae ili warithi mali.
  Mifano ninayo kama mi-4 hv.
  Hiyo sifa mojawapo ya kwao,japo cjajua ni wa-Kibosho au vp!
   
 9. m

  mikest Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Kila kukicha wachaga! Mara hiki mara kile
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,037
  Likes Received: 23,817
  Trophy Points: 280
  Mlianza na wachagga mmechoka, sasa mmeamua kudili na vitongoji vyao. Na bado mtachonga sana juu yao!
   
 11. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wakitoka kwenye vitongoji wanaingia kwenye ukoo...na bado. Shkang babu,nilikumisije
   
 12. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Wanapiga visu hao, balaa! Akina kida sa!
   
Loading...