Sifa za waenda vyuo:.......

Sifa za waenda vyuo:.......

Status
Not open for further replies.
sikubaliani. eti SAUT wasiojali future zao? embu mtazame Vicky Kamata kwanza....na huko MORO MUSLIM ndo chuo cha nini vile?
 
Makini na washamba-SUA.

Matajiri na wenye akili + vilaza-MZUMBE.

Wasio na akili then matoz na masistadu -IFM.

Masharobaro na wazembe -CBE-Dar.

Upeo mdogo na watoto wa mama-TUMAINI.

Waliokosa vyuo kabisa -RUCO.

Waliokosa nafasi UDSM na wanaipenda -UDOM.

Wasiojali future zao- SAUT, USTAWI, MWL. NYERERE, MUCOBS, CBE DOM.

Wenye uwezo ila walifeli F6-IAA,

Wasiofahamu umuhimu wa elimu-MIPANGO, ZANZBAR, ST.JOHN.

Wenye Nidhamu -MORO MUSLIM.

Majigambo kibao hamna cha maana, kujipraud tu -SECUCO.

Watu wenye sifa mchanganyiko na jamii inawakubali UDSM, MUHAS, ARDHI etc!

Je we uko wapi/umepita wapi?

(UTOTO + SIFA ZA KJINGA) ILA UKIKUWA UTAACHA.....................forum name has been considered
 
Te te teeeeeeeeeeeee. Kweli umejitafutia kutukanwa. Any wey nimecheka. Japo chuo changu hakipo hapo!!!
 
Te te teeeeeeeeeeeee. Kweli umejitafutia kutukanwa. Any wey nimecheka. Japo chuo changu hakipo hapo!!!

matusi yanakuwa matusi pale tu kile kinachoitwa matusi unaamini kwamba ni matusi
 
sasa sifa ziko wapi hapo?
Sawa mzee wa SECUCO

We dogo wewe ukikuwa utajuwa chuo ni jina tu, cha muhimu angalia ulichofundishwa umekielewa, unakifanyia kazi na kinakusaidia kama inavyotakiwa? Unaweza ukasoma kwenye hivyo vyuo vyako unavyovisifia hivyo.............ukachapa chache na kazini ukawa kilaza vile vile........hivi wewe unafikiri wale mainjinia/ wahandisi waliojenga magorofa yakaporomokea watu mjini humu unafikiri walisoma vyuo gani wale?......ila sishangai kwenye msafara wa mamba hata kenge mmo vilevile.............................forum name has been considered
 
Wanaouza K* na kuvuta bangi pale mabibo hostel ndo jamii yako inawakubali?? Jipange kijana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkuu hayo ya kuuza k* na kuvuta bhang alishatoa majibu kwamba yapo kwenye sifa mchanganyiko......teh teh teh
 
We dogo wewe ukikuwa utajuwa chuo ni jina tu, cha muhimu angalia ulichofundishwa umekielewa, unakifanyia kazi na kinakusaidia kama inavyotakiwa? Unaweza ukasoma kwenye hivyo vyuo vyako unavyovisifia hivyo.............ukachapa chache na kazini ukawa kilaza vile vile........hivi wewe unafikiri wale mainjinia/ wahandisi waliojenga magorofa yakaporomokea watu mjini humu unafikiri walisoma vyuo gani wale?......ila sishangai kwenye msafara wa mamba hata kenge mmo vilevile.............................forum name has been considered
umenena mkuu maana wengine wanahisi kusoma chuo chenye jina basi na wao wataonekana wana akili sana kumbe wengine ni vilaza wa kutosha na kila semester wana sup
 
umenena mkuu maana wengine wanahisi kusoma chuo chenye jina basi na wao wataonekana wana akili sana kumbe wengine ni vilaza wa kutosha na kila semester wana sup

mkuu naona imekugusa hii,
pole sana naona umesahau uko jukwaa gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom