jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,858
- 14,797
Sahihi kabisaHii ni kweli, lkn pia inatfsri kubwa sana y namna wanawake hao wanakuchukulia wewe kama Mwanaume.
Ukiona Mwanaume analalamika ujue shida iko kwake. Basically hakuna Mwanamke mbaya au mwenye Tabia mbaya