Sifa za vyuo mbalimbali bongo

Sifa za vyuo mbalimbali bongo

Uswiss

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
841
Reaction score
2,169
*SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA*.

1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.

2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.

3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.

4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.

5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM

6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.

7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.

8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.

9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.

10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.

11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.

12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.

13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.

14. Watoto wa kishua wenye kujiweza kimaisha halafu wanapiga misuli mirefu sana
- KAMPALA.

15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.

16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.

17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.

18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.

19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.

20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.

21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.

22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJi.

KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.
 
sasa mkuu hiyo UDSM ina sub branches tatu, yaan,,,,,,,

MUCE- MKWAWA UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION

DUCE_ DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION

UD MAIN COMPUS

SASA, hapo unaongelea udsm by generalizing ilihal tabia za. Hao watu na msoto wa kimasomo hauensan hata kidogo labda utafiti uliotumia kupata hizo sifa hapo ungetolea maelezo kidogo ili kieleweke

Au lah basi ungetoa sifa za chuo kimoja kimoja nadhan hapo ningekupata vizuri zaidi.

Thanks for ur contribution.....
 
Kwahiyo wale wa UDOM ni mwendo wa kutoka vigimbi na kunuka makinikia...
 
We jamaa umeamua tu kutuchekesha hapa
 
*SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA*.

1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.

2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.

3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.

4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.

5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM

6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.

7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.

8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.

9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.

10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.

11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.

12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.

13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.

14. Watoto wa kishua wenye kujiweza kimaisha halafu wanapiga misuli mirefu sana
- KAMPALA.

15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.

16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.

17. Wanao jifanya wazungu kisa mkoa wao unawatalii wengi.
- IAA.

18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.

19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.

20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.

21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.

22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJi.

KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.
Daaaah kwel
 
Tatizo langu walimu wa vyuo vingi hawana sifa hata kidogo. Hata kama GPA ni kubwa ni nani baliyemfundisha? Huyo aliyemfundisha alisoma wapi? Vyuo wanaiba mitihani , mitihani substandard, etc. Bottomline vyuo vingi ni takataka
 
Back
Top Bottom