Sifa za vyuo mbalimbali bongo

Sifa za vyuo mbalimbali bongo

Ndo mnadanganywa hivyo wakati wa kufanya application??
Mungu awajalie mwende mkajionee uhalisia
 
Kumekucha sasa. Huu no Uzi special kwaajili ya kutupia sifa mbalimbali za vyuo nchini Tz kama we ni mjanja tupia comment
 
Weka chuo kinachoongoza kutoa wataalamu wengi ambao wameiibia nchi hii mpaka mwisho
 
Watoto wa form six subirini matokeo bila ya kutujazia thr
ead za kipuuzi kwenye jukwaa
 
Mpaka likizo iishe, tutakua tusha konda kwa thread kama hizi.
 
Udsm Sio Wanajifanya Wao Ni Bora Kuliko Wote. Ni Kweli Wao Ni Vipanga Tena Cream Ya Taifa.
 
00c923128de878114660fe62a1c65eb9.jpg

Meanwhile at the UDSM
 
Back
Top Bottom