Siyo kweli! Una kasumba ya enzi ya chuo kimoja!Tatizo langu walimu wa vyuo vingi hawana sifa hata kidogo. Hata kama GPA ni kubwa ni nani baliyemfundisha? Huyo aliyemfundisha alisoma wapi? Vyuo wanaiba mitihani , mitihani substandard, etc. Bottomline vyuo vingi ni takataka
Nimewafanyisa wengi employment interview it is pathetic.... unajiuliza huyu chuo gani kasoma? Kuna lecturers kweli ? Hovyo hovyo kabisa! Sasa ukute ameanzia shule za kata akamalizia UDOM....mh!Siyo kweli! Una kasumba ya enzi ya chuo kimoja!
Uhazili ya tabora?Uhazili je?
Inaonekana wewe ni derevaNIT watu muhim xnaa iyo ni kwel kbisaa ata c uongo