ha ha ha haIringa University wanajifanya wanamjua sana Mungu lakn ni wapgaji wakubwa wa pesa.
hahahaha kweli tena, ukienda pale utajutaha ha ha ha
Ilikuwa enzi zile lakini siyo Leo! Wamebakiza jina tu! Hata simba mzee asiyeweza tena kuwinda huwa anaunguruma.Udsm Sio Wanajifanya Wao Ni Bora Kuliko Wote. Ni Kweli Wao Ni Vipanga Tena Cream Ya Taifa.
Mmmmhh ndo nini hikoMoCU ndo habari ya mjini! Chuo makini!
Km ujui mocu bas elimu yako darasa la saba huu uzi haukufaiMmmmhh ndo nini hiko
chuo cha bashite hichoMoCU ndo habari ya mjini! Chuo makini!