Sifa za mwendazake na hali halisi..

Sifa za mwendazake na hali halisi..

Mkuu JPM ni binadam kama tulivyo mimi na ww. Ikiwa binadam tulioumbwa na Mungu tunafanya machafu na kukwamisha yale yote anayoyataka Mungu tuyafanye, vipi tutashindwa kukwamisha yale aliyoyataka binadam mwenzetu hayati JPM. Kumbuka kwamba hata malaika walimuasi Mungu wakawa mashetan sasa sijui unashangaa nini baadhi ya watu kuiasi serikali na kukwamisha juhudi za JPM
Hamna kitu . Kama iliwahi kununuliwa pantoni isiyoweza kutembea kwa b8 na kugeuzwa kifaru cha kijeshi ili watu wasihoji ndiyo ushangae hizi hasara za ndege !!.

Mungu fundi

Odhis *
 
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?
Tuache kwanza tulie. Na wala msijidanganye kuwa hii ni report tofauti.
 
naoma team msoga mnakuja kwa kasi ya ndege vita.

sasa mama soon atawaonyesha pa kwenda kifulia nguo.
 
Hamna kitu . Kama iliwahi kununuliwa pantoni isiyoweza kutembea kwa b8 na kugeuzwa kifaru cha kijeshi ili watu wasihoji ndiyo ushangae hizi hasara za ndege !!.

Mungu fundi

Odhis *
Hizi propaganda na uongo wa dhahiri haviwezi kukusaidia chochote ww raia wa kawaida labda wale ambao wamezianzisha ndo walikuwa na faida nazo kwa kuvuta mshiko toka kwa wafadhili wao (mabeberu) ili waichafue serikali iliyokuwa madarakan pamoj na mawaziri wake including hayati Magufuli. Ungekuja kujua kama hizi ni propaganda na uongo endapo tu Magufuli angegombea kupitia upinzani kama walivyofanya kina Lowasa, Sumaye nk. Hawa mawaziri wakuu niliowataja hapo juu hasa hasa Lowasa walionekana kama ndio mafisadi wakuu toka nchi yetu ipate uhuru, lkn baadae tukaja kuambiwa kwamb hawakuwa mafisadi na haitotokea wao kuwa mafisadi wa nchi hii, na kwamba yale yote waliyo washutumu wakati wapo CCM ilikuwa ni kutafuta kura za wajinga na wasioelewa dunia inakwendaje. Mtu makini hawezi kuwaamini wanasiasa hasa wa upinzani maana wapo kwa ajili ya opportunity zao na matumbo yao, pole san kijana kwa kuamini kila unalolisikia kutoka ktk vinywa vya wapinzan
 
Tumeambiwa Mwendazake alifanikiwa kufuta ufisadi serikalini na nidham ya kazi akarudisha..Leo mmoja wa wateuliwa wake DG wa TPA katimuliwa Kwa upotevu wa bilioni zaidi ya 3...

Halafu tukaambiwa alifufua shirika la ndege

Leo tunaambiwa shirika la ndege linaleta hasara ya bilioni 60 kila mwaka
Kwa ufupi halijawahi kuleta faida...

Mimi kama sielewi ...
Au zile sifa zote na kilichopo vinaendana?
Jiwe yaani ibilisi aliendesha nchi kwa propaganda ndani ya kipindi chake chote Cha miaka mitano na ushee , hakuna alichofanya , umesahau tilioni 1.5 na mengine mengi tu .
Screenshot_20210329-125044.png
Screenshot_20210329-124612.png
Screenshot_20210329-124500.png
Screenshot_20210329-000300.png
 
Acha uongo mkuu,tulikuwa tunaambiwa shirika linazalisha faisal 28B mpaka gawio walikuwa Santos.

Tunasubiri na TTCL tujue lile gawio fake Lao.

Magufuli alifanikiwa kuuimba uongo mpaka ukaaminika ni ukweli huku midomo kwa makufuli wale wenye uwezo wa kubainisha uongo wake
Sasa hasara imetokea wapi tena ndani ya miaka mi5, wakati serikali ilishapokea gawio?? Kubwa tu!
Kwa uelewa wangu mdogo shirika lisipotengeneza faida hakuna dividends, gawio... sielewielewi!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom