Kamanda angekuwa alifanikiwa kuufuta ufisadi kabisa asingelikuwa ana litumbua kila siku .....
Lazima tukubali alikuwa ana pambana kweli kweli bila kujidicha....
Hivi ulisoma report ya mwaka jana kuhusu ATCL ? ATCL haijaanza kupata hasara mwaka huu nasitegemei ianze kupata faida ndani ya miaka kumi ijayo hiyo itakuwa ni kujidanganya!
Shida mnasahau kuwa hata mwaka jana CAG alisema hivi hivi kuhusu ATCL.
Mtu mwenye utimu wa akili hata anayejua hesabu za kutoa na kujumlisha awezi kutegemea shirika hili kuanza kupata faida ndani ya miaka kumi basi hayo yatakuwa maajabu
Nimefurahi kila leo CCM inaendelea kuaminiwa