Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,001
- 1,688
Kamanda angekuwa alifanikiwa kuufuta ufisadi kabisa asingelikuwa ana litumbua kila siku .....
Lazima tukubali alikuwa ana pambana kweli kweli bila kujidicha....
Hivi ulisoma report ya mwaka jana kuhusu ATCL ? ATCL haijaanza kupata hasara mwaka huu nasitegemei ianze kupata faida ndani ya miaka kumi ijayo hiyo itakuwa ni kujidanganya!
Shida mnasahau kuwa hata mwaka jana CAG alisema hivi hivi kuhusu ATCL.
Mtu mwenye utimu wa akili hata anayejua hesabu za kutoa na kujumlisha awezi kutegemea shirika hili kuanza kupata faida ndani ya miaka kumi basi hayo yatakuwa maajabu
Nimefurahi kila leo CCM inaendelea kuaminiwa
Acha uongo mkuu,tulikuwa tunaambiwa shirika linazalisha faisal 28B mpaka gawio walikuwa Santos.
Tunasubiri na TTCL tujue lile gawio fake Lao.
Magufuli alifanikiwa kuuimba uongo mpaka ukaaminika ni ukweli huku midomo kwa makufuli wale wenye uwezo wa kubainisha uongo wake