Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
37,361
Reaction score
91,912
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za:

a. Ushoga
b. Vijembe
c. Umbea
d. Kususa
e. Kusuta
f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu
g. Umario
h. Kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I. Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU, kakataa kuoa aliyemtia mimba
j. Kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake, kama kuna pahala nimesahau muendelee.

NB: BE A MAN!
 
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume...hivyo anakuwa hana sifa za;
a.Ushoga
b.Vijembe
c.Umbea
d.kususa
e.kusuta
f.kupoteza muda kwa visivyomhusu
g.umario
h.kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I.Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU,kakataa kuoa aliyemtia mimba
j.kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake,kama kuna pahala nimesahau muendelee

NB:BE A MAN!
Tittle haiendan na content😄
 
Kukubali mimba kirahisi wakati mwanamke hujamuoa ni uboya. Ukizingatia sasa mapenzi hakuna ni biashara (kizazi cha kudanga) unakubali mimba kumbe mpo sita mnahudumia, na mimba iwe ya makubaliano siyo za kujitegesha., na kudanganya sipo ktk danger days au natumia birth control pills kumbe unategeshewa.
 
Kama unajua humwamini mwanamke yeyote na hupendi majukumu usishiriki ngono zembe.Mwanamke unamjua ana wanaume wengi unampiga peku...una akili kweli wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom