Sifa za Mwanaume halisi

Upendo sio kamilifu kila wakati.

Sio hadithi au kitabu cha hadithi. Na sio rahisi kila wakati. Upendo ni kushinda vizuizi, kukabili changamoto, kupigania kuwa pamoja, kushikilia na kutoruhusu kuachana. Ni neno fupi, rahisi kutamka. vigumu kufafanua, kwamba Haiwezekani kuishi bila wewe


Upendo ni kazi, lakini zaidi ya yote. Upendo ni kutambua kwamba kila saa, kila dakika. na kila sekunde ilistahili kwa sababu ya kuwa pamoja.
 
Baadhi ya matukio bora zaidi kamwe hayanaswi na kamera na hayachapishwi kwenye majukwaa yoyote ya mitandao ya kijamii.

Huwekwa faraghani na hutunzwa pamoja na watu bora zaidi.
 
Usitishike na machozi ya mwanamke,wana usanii sana hao watu
 
wenzetu waliokengeuka walianza kulegeza kama unavyoanza kulegeza ndugu mshana Jr.


usimhurumie mwanamke.

kwanza mbinguni hakuna wanawake.

prove me wrong.
Kwahiyo Zumaridi alienda wapi au zilikuwa fix!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…