Sifa za mwanamke

Na kuna wadhamini wa mada.
"Kungwi nimetuma 20,000 njoo utufunde"
Hivi ni kweli mtu anatuma?
Unafundishwa kuwa mwanamke

Wapo wengine watsapp, wanatoa na video za kusisitizia somo. Kila mada wanalipia ada kwa M-pesa ukitaka notes za somo lililopita unalipa ada kubwa zaidi.
 
Nadhani ungetoa lile neno mnyonge ukaweka mnyenyekevu....mnyonge ni mtu anayehitaji kuhurumiwa...ni mtu wa kusaidiwa kama mgonjwa
 
Back
Top Bottom