Sifa za mwanamke

Sifa za mwanamke

Type hiyo ipo na ndio wanawake wanaoongoza kwa kunyanyaswa. Lkn cha kushangaza ni kuwa wanaume wengi wanapenda wanawake wajeuri na wakorofi na wenye kiburi. Utakuta mwanaume anamwagiwa mitusi na mwanamke lkn anang'ang'ania tu na kuomba msamaha hadi anampigia magoti mwanamke huyo mkorofi. lkn pia wanawake type hiii ya wakorofi wengi wao ndo waliojaaliwa kuwa wazuri na type hiyo ya wapole na wenye upendo na utulivu ni wanawake wa kawaida sana.

hili lina ukweli ndani yake
 
Huyo ni typical mke wa kiislamu.na muendelee kuwashika masikio hivyohivyo
 
Jana mlisema mahitaji yenu kwa wanawake ni matatu tu: kupikiwa,unyumba na tuwaache mpumzike sasa leo mmekuja na mpya tena, kazi kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom