Bak byzo I.T
JF-Expert Member
- Jun 29, 2014
- 266
- 125
- Thread starter
- #21
Nasubiri part II, "Sifa za Mwanamume"
Wakati mwingine huwa najiuliza lengo la mleta mada naishia kukuna mvi tu....!!
More than you think
Nasubiri part II, "Sifa za Mwanamume"
Wakati mwingine huwa najiuliza lengo la mleta mada naishia kukuna mvi tu....!!
Mmh huku ni kutuandaa kisaikolojia ili mtupande vichwani, haipo hiyo.
nimegoma kuelewa nahisi nimepata kiburi
Kuna watu wanajitiaga ukungwi mjini hapa kutafuta sifa tu....
Ntaanimi makungwi siku nikiwaona naomba wapo kwenye ndoa, kungwi gani anafundisha maisha ya ndoa wakati ye ni kigodoro kigodoro na yeye
Kwa mafundisho ya dini yangu, unyonge ni moja ya sababu za kutoingia mbinguni. .ufunuo 21:27
ha haa ha
kungwi wa instagram na jamiiforum
Mpe uyoo maana ni jeuri lakini ni muelewa.
Mmmmmh! hizi sifa ni kwa mujibu wa chanzo kipi haswaa
ha haa ha
kungwi wa instagram na jamiiforum
aisee si hii uliyoandika hapoHeshima sio utahira mkuu ila ni busara ambayo iko na imeumbwa ndani kwa mwanamke ni hekima tu kuwa nayo.
Chanzo si huyo mtoa post? Ha ha wewe sio mnyonge...
Kwa mujib wa mtoa mada huna sifa....ha haa
Type hiyo ya wanawake haipo
Darasa mmoja sh 1000 teh
Nmmmh!
somo gani photocopy wewe mwenyewe hujui kitu!!