Sifa za mwanamke wa kimachame

Status
Not open for further replies.
Wanafanya chochote kile kupata pesa, wao kutumia mwili pesa iingie siyo tatizo, ni wachapa kazi haswa full bulldozer, mwishoni mkisha-make kukurestisha in pisi ni mambo ya kawaida sana kwao.
 

Hapa umeongeza chumvi mkuu wangu. Uru na Kibosho wapi na wapi? Au ulimaanisha Machame na Kibosho? Uwe na kumbukumbu unapoamua kudanganya muzee wangu.
 
Hahahahaah wewe bana ufundi mchundo umekuharibu sana.........
 
hao kiukweli wameshindikana na ulimwengu maana ukijichanganya tu kwao umekata tikiti ya KIFO
 
Khaaa tumechoka na masimango yenu, na kwa taarafa yenu kabila linalo ongoza kwa kuolewa ni wamachame, toeni kasumba zenu za kizamani apa fyuuuuuuuuu!!!
 
Wana matiti makubwa half nyuma wamepigwa pasi
 
Utakuwa unazungumzia yule ambaye muuwaji mmoja kati ya waliokodishwa aliyemtonya mshikaji
 
Msidanganye vijana kwani wanaoa mmachame au mke.
 
Kama wewe c mchaga wamachame haujashikiw mtutu wa bunduk kumuoa mwanamke... Na kwa taarifa yako sasa sisi wachagga..2nawezana wenyewe..2naoana wenyew...kama vip unaweza kutafuta kwenye makabila mengne meengi humu Nchn....!!
Safi sana
 
siku ya ndo yako nunua jeneza liweke ndani kabisa, na usisahau kuandika urithi kwa watoto. maana hujui siku wala saa atakayokuja mwana wa daudi
hahahaaaaah, sio mwana wa Adamu bhana bali mwana wa IBILISI ndani ya mmachameee
 
Preta mimi nakupinga hadharani, ni kweli tunabase ktk tulichokisikia, kwa mfano mimi si mchaga na sijawahi kuishi uchagani so lazima ntaishia kusikia tu sio lazima nishuhudie na yanapotokea watu huambizana.

Nikikuwa nikisikia hizi stori hata mimi nilikuwa sikubaliani nazo nikijua ni uvumi tu au wana exergrate, siju moja nikiwa first yr mwaka 2009 ktk chuo fulani nilishuhudia stori kati ya wanaume watatu wakibishana.
Walikua mmoja kutoka machame, mwingine rombo na mwingine alijitambulisha kama mmarangu, basi zogo kikaanza kuhusu stori za kuoa, kila mmoja alimponda na kukandia mwenzake, wa marangu anamponda mmachame na wa rombo ana ponda wanawake wa marangu ikawa fujo, darasa likazizima watu wakajaakwenye zile meza zao wakipatia makundi yaliyogawanyika kimitazamo kila mti akilalia upande wake.
Sasa kuanzia hapo nikasema kumbe yasemwayo yapo maana nikiyasikia kutoma kwa watuhumiwa wenyewe wakistana.

NB: sio wate wenye tabia hizo but majoritu, be careful my bro!
 
Wanauwa sana waume zao pindi wapatapo pesa.
 
Mi
Wangekuwa basi wanatoa na ushahidi......kwamba kuna fulani alioa mmachame akauwawa........wote hao wanaosema hivyo ni kusikia tu.......wanaume wajanja huoa uchagani bana.......na hakunaga mchaga f.a.l.a......
Mimi jirani yangu.Una lingine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…