Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

Hizo ndizo sifa za "mke mwema" lakini ukweli mchungu ni kwamba wengi hamna hata 40% ya sifa tajwa.So sad lakini ndo uhalisia!
Ni kweli mi nakiri kabisa hizo sifa zote sina ndiyo maana nikasema sijioni nikiwa mama bora hapo, mwenye hizo sifa zote ni zaidi ya mtu perfect aisee
 
Back
Top Bottom