Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA.

1: Mwaminifu katika kila jambo.
2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine.
3: Hadekezi watoto.
4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla.
5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia.
6: Ni mvumilivu.
7: Ni mwepesi wa kukiri makosa yake na tabia zake ambazo sio njema.
8: Ni msafi wa mwili,nyumba na mavazi.
9: Mcha mungu ila asiyejiona yeye yuko perfect.
10: Anapenda kumpikia na kumfulia mumewe na kumsaidia mambo mbalimbali.
11: Ni mleta mahusiano mema ktk familia zote.
12: Sio mchonganishi wala mtu wa kulazimisha mambo yake yakubaliwe.
13: Hana dharau,kiburi,hasira na unafiki.
14: Asiwe mgomvi, mtafuta makosa na asiwe anaishi na mume kwa Kusikiliza maneno ya marafiki, au kufanyia kazi maneno ya kuambiwa.

Hamjambo ndimi Mimi Kijani wenu Emmanuel Kasomi tupate break kidogo
Labda umzae wa kwako
 
Kama mwanamke asiekuwepo na sifa tajwa hapo juu akashika mimba na kujifungua mtoto,yule mtoto hatafaa kumwita huyu mwanamke mama,,?
 
Sifa za mwanaume astahikie kuitwa baba nazo ni zipi?
 
MBONA ZOTE MKE WANGU ANAZO,
NA TENA ZAIDI YA HIZOOO
 
Sasa Pisi Kali huo muda wa kupika na kufua ataupata wapi! Muda wote ni kujiangalia tu kwenye kioo! Muda wote yuko Instagram akiangalia kiki za Kajala na Harmonize!

Ameweka makucha marefu ya bandia vidoleni mwake! Muda wote liuso lake limejaa ma makeup!! Aaarghh!! Pisi Kali mnazingua sana. Na kama mpo humu, basi mbadilike haraka ili tuwaweke ndani.
kiasi kwa makucha yale mitaa ya kwa bibi kule sijui wanafanyaje usafi. au saluni za siku hizi wanatoa huduma ya kusafisha?
 
Kama mwanamke asiekuwepo na sifa tajwa hapo juu akashika mimba na kujifungua mtoto,yule mtoto hatafaa kumwita huyu mwanamke mama,,?
Ikitokea imetokea.
Mtoto hana makosa, ndio maana hata makahaba huzaa watoto welevu
 
Huyo wakuchonga labda! Hawa walizaliwa na binadamu ni ngumu sana mwenye kumpata mwenye izo sifa zote.
 
Back
Top Bottom