Habar wanajamvi,
Mimi ni mkazi wa mkoa wa Pwani, nina kibanda changu nmeezeka nusu sasa nauliza muongozo wenu, ni njia gani ntatumia ili niweze unganishwa na umeme wa REA kwenye kibanda changu na sifa zipi zinatakiwa ilihali nyumba yangu haijakamilika yote nimeezeka vyumba viwili tu.
Shukran kwa watakao changia mawazo chanya.