Sifa za kuunganishwa na umeme wa REA

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
1,211
Habar wanajamvi,

Mimi ni mkazi wa mkoa wa Pwani, nina kibanda changu nmeezeka nusu sasa nauliza muongozo wenu, ni njia gani ntatumia ili niweze unganishwa na umeme wa REA kwenye kibanda changu na sifa zipi zinatakiwa ilihali nyumba yangu haijakamilika yote nimeezeka vyumba viwili tu.

Shukran kwa watakao changia mawazo chanya.
 
Fika ofisi ya karibu ya Tanesco watakuelekeza vizuri!kikubwa REA phase 2 iliisha mradi wake tare 30 mwezi wa 6,hivyo tunasubiria mradi wa REA phase 3 nadhani nawe ndio utapata huduma hapo!ila kwa sasa fika ofisi ya karibu utapata majibu yenye uhakika na kukuandaa vizuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom