Wakuu naomba kufahamishwa sifa za kujiunga na vyuo vya Kilimo na Afya ngazi ya Cheti na Diploma ambavyo vipo chini ya NACTE. Nimepitia websites za NACTE na wizara husika sijaona - kuna orodha ya vyuo tu na vyuo vyenyewe havina websites. Wizara ya Mifugo na Elimu ndio bado matangazo yao yapo na unaweza pata sifa hizo.
Natanguliza shukran.
Natanguliza shukran.