Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

Yes or No

Member
Aug 26, 2009
36
6
Wakuu naomba kufahamishwa sifa za kujiunga na vyuo vya Kilimo na Afya ngazi ya Cheti na Diploma ambavyo vipo chini ya NACTE. Nimepitia websites za NACTE na wizara husika sijaona - kuna orodha ya vyuo tu na vyuo vyenyewe havina websites. Wizara ya Mifugo na Elimu ndio bado matangazo yao yapo na unaweza pata sifa hizo.

Natanguliza shukran.
 
Ni kwel c wana jf wote wanajua kingereza.ila fanya ujifunze ingalau coz ya miez3 mana cku hz bla kujua kngereza....,.
 
afya ngaz ya chet unatakiwa uwe na DDD katika pcb ila math na kingereza ni sifa ya ziada pia chet chako cha kidato cha 4 kioneshe 28 points ya div 4
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom