Sifa za kugombea ubunge zibadilishwe walau mgombea awe na elimu ya shahada

Kagombee na wewe na LLM yako uwashinde hao darasa la saba sio kulalamika tuu na kufikiri LLM yako ni ya maana wakati hata kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza kizuri huwezi
Labda huwezi ww na darasa la saba lako ilo
 
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.

Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.

Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.

Ndugu zangu ni ushauri tu.

Ninyi mnaonaje wakuu.
Hapo ndiyo unataka ccm iondishwe madarakani mapema sana
 
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.

Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma.

Wanaogombea uenyekiti wa vijiji walau wawe na cheti cha form four.

Ndugu zangu ni ushauri tu.

Ninyi mnaonaje wakuu.
Taifa la watu wabinafsi nani atakuelewa?
 
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.

Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Shahada huko unakuwa umewarusha mbali sana mkuu. Tutoe kigezo cha darasa la saba sasa iwe kidato cha nne minimun na hii itawapa wabunge wengi motisha ya kutamani kujiendeleza.
 
Ni kweli msomi ana upeo kuliko asiyesoma, kinachotakiwa ni uzalendo. Kipengele katika katiba kinachosema" ajue kusoma na kuandika" kinatuangusha sana Watanzania. Mf. Mbunge wa Tz (darasa la saba) na mbunge wa Kenya mwenye shahada wakikutana kuzungumzia mambo ya uchumi wa Tz atachangia nini? Akisikia "income per capita" ataona kama matusi!
 
Back
Top Bottom