Sifa za husband material

17. Hatumagi ya kutolea
 
Ni kweli ila toka mwaka umeanza umekutana na mwanaume mwenye sifa hata 5 kati ya hizo zilizotajwa. Na kama yupo basi hajagi kwenye vikao vyetu
😂kwanza sifa nazotaka hata nyingine hazipo hapo....
Aliyoandika hapo mengine ya kufikirika,we r human!
Ila vipo vya msingi
 
😂kwanza sifa nazotaka hata nyingine hazipo hapo....
Aliyoandika hapo mengine ya kufikirika,we r human!
Ila vipo vya msingi
Safi kabisa kweli vipo vya msingi ila nadhani unaelewa haya mambo ni pande mbili ndio maana wanasema penda nikupende heshimu nikuheshimu.

Sasa kama upande mmoja utatoa yalio mema alafu uapnde mwingine ngoma iwe ngumu lazima mtalalamika HM anazingua
 
Yes ,love is two way traffic!
Hapa ndo issue
Ukiona upande mmoja tu ndo una suffer hakuna kitu hapo.
Bora ukae mwenyeww mpk update mtakae elewana
 
Ata na sisi wanawake siku hizi tunawakimbilia nchi za nje tumewachaa nyie wanaume mnaowadangia wanawake na wake za watu maana siku hizi nyie wanaume hamuwezi kufanya kazi mbasubiri kuolewa
miaki mia saba uzuri tunawafahamu kama kina wema tu ujanja wao wote wameisha kuruka ruka kijichi ya mbagala itakua nyinyi ambao ata kingireza cha kuombea maji tu kinawashinda kazi kuomba omba hela za kufanyia vitu vya kijinga
 
17. Ha-exist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…