Sifa za husband material

Dada angu huku utaandika ,utaandika humu hao watu hawapo labda utoe tangazo la biashara humu utapata wateja. Goodnight
 
Labda unzae mwenyewe tena mimba uwe umepewa na malaika
 
Eti "anakufanyia surprise very often"...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ma tamthilia ya kituruki na kikorea yamewajaa vichwani.....

Mtaishia kupata "bongo movie"mkiendekeza hizo tamthilia [emoji2][emoji2][emoji2]

Wenzako wanafanya ivo sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mm Ndio sifanyagi
 
Akili yako kwa asilimia kubwa inaonekana inategemea Wanaume Shutka Dada Saizi vijana wa Tanzania wanakimbila kuolea Nchi jirani wew jifariji tu na mavitu ya ajabu wakati pilau zinaenda kuliwa kigali na Lilongwe

Ata na sisi wanawake siku hizi tunawakimbilia nchi za nje tumewachaa nyie wanaume mnaowadangia wanawake na wake za watu maana siku hizi nyie wanaume hamuwezi kufanya kazi mbasubiri kuolewa [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…