Sifa za husband material hizi hapa

kuna jamaa alijaribu ku pretend kuwa na sifa hizo ili ampate binti.. kumbe ni boooonge la mchepukaji, dah miezi mi3 ilikwa mingi aliumbuka. wanaume bana..!
 
Sifa ya kwanza ya wapendanao ni upendo wa dhati kutoka ndani ya nyoyo zao ambao hupelekea ndoa yenye furaha na amani tele...hayo mengine watu wengi huwa wanaigiza na sio halisi kutoka ndani ya nyoyo....kwani ni rahisi kufumba macho ili usiomuone usiyempenda lakini ni vigumu kuufunga moyo kwa yule umpendaye kwa dhati otherwise ziwe ni tama za kimwili.......
 
Namba 2 bora majaribio kwanza loooo
6:bezday mi kwangu hazina maana wala hatujali hilo mengine yote mwakeeeeeee
 
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye sifa zote hizo!! Japo umemsifia pia sidhani kama kweli wanawake wanapenda mwanaume wa dizaini hiyo! Kaa ana-bore vile!! Wanawake wanapenda challenge!! Labda kweli ule msemo usemao"Wanawake hawajui wakitakacho!!"
 
ukiona mtu amekuja na negative comment ujue hana sifa nyingi katika hiZo zilizotajwa.
 
Drama..!! Kwanza hakuna wa hivyo kwasasa labda awe ana pretend halafu mkioana anarudi enzi zake(fake)..!! Pili hata akipatikana wa hivyo basi mwanamke anaweza akawa na vituko..!! Jambo la ajabu siku hizi msichana anataka husband material wakati yeye ni mnzinzi na na tabia nyingine za ajabu na wanaume hivyo hivyo eti wanaita wife material wakati ni wazinzi wakubwa..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sifa zangu mimi hapo ni
namba 5,6,7,8,11 na 12.
naona mimi hapo ni "a half husband material"
 
a husband material ni relative term. Yani ni mtazamo wa mtu na mtu. Husband material wa binti mmoja sio wa mwingine. kuna asiye na hela anaona yule atakaye tatua matatizo yake ya kifedha ndio anafaa, kuna mwene pesa nyingi ambaye kwake mtu atakayempa furaha na smile kila saa kwake ndio husband material na kadhalika
 
Back
Top Bottom