Sifa za binti wa kinyamwanga

Sifa za binti wa kinyamwanga

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
707
Reaction score
742
Habarini wakuu, bila Shaka nyote mu wazima wa afya tele. Sasa ndugu zangu katika tafuta tafuta zangu nimefanikiwa kumwona binti mmoja wa kabila la kinyamwanga na nimetokea kumpenda.

Nataka ikiwezekana nioe niweke ndani. Hivyo wakuu kama kuna yeyote anaye zijua sifa za mabinti wa kabila hili la kinyamwanga tafadhari niorodheshee ili nisije nikaingia mkenge.
 
Mambo ya kizamani hayo...

Siku zote ukitaka kuoa angalia tabia za binti husika, usiangalie sifa la kabila lake.

Kumbuka huoi kabila kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unaoa wa wapi aliye kulia kijijini au mjini? wa kijijini kubali yafuatayo ndugu na jamaa zake kuhamia kwako, uwezekano wa kutembea na mdogo au dada mtu ni mkubwa sana na unaweza kuwaoa wote wawili
 
kweli Tanzania kubwa hili kabila ndio nalisikia leo hata sijui lipo mkoa gani, msaada tafadhali kwa anaejua

aim for the stars
 
Kuwa makini tu Mana tabia ni tofauti wa kwangu ni mnyamwanga . Wanyamwanga Wana majina kama haya kwa wasio wafahamu
Simwita
Siame
Simkanga n.k

-Wanapenda pombe kama wasafwa vile.
-Wanamapenzi ya kweli.
-Wanaheshima sana.
-Wanapenda dudu sana kama huna uwezo wa kuwashughulikia kausha.
-Wanapenda uchawi Ila inafuatana hapo.
-Wavumilivu sana hata kama huna ela ili mradi mashine inapiga kazi.

Wana matusi balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo hapa jf ukiambiwa kuwa wanatoa 071 ndio utaahirisha kumpenda?
 
Mwakata huli mlumendo,krb unyamwangani Mimi kk yao yaani unataka uwe Shem wangu
 
Maisha Popote Yakawezekana
Habari Nyingine Ni Mapokeo Tu
Tusitishane Ndugu Zangu
Tuchape Kazi Corona Iishe
 
Kuwa makini tu Mana tabia ni tofauti wa kwangu ni mnyamwanga . Wanyamwanga Wana majina kama haya kwa wasio wafahamu
Simwita
Siame
Simkanga n.k

-Wanapenda pombe kama wasafwa vile.
-Wanamapenzi ya kweli.
-Wanaheshima sana.
-Wanapenda dudu sana kama huna uwezo wa kuwashughulikia kausha.
-Wanapenda uchawi Ila inafuatana hapo.
-Wavumilivu sana hata kama huna ela ili mradi mashine inapiga kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimependa majina hayo bibie Sieme
 
Back
Top Bottom