Sifa za binti wa kinyamwanga

Sifa za binti wa kinyamwanga

Hilo kabila lipo sana upande wa Zambia, watu naweza sema wote hawawafahamu.

My self nawajua kiasi kikubwa sana.

But unaoa mtu siyo kabila, hebu jiridhishe naye wewe kama wewe


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu lkn Bado kaukabila bongo kapo sana. Kuna kabila Bado zinasumbua ukioa au ukiingia nazo kwenye mahusiano. Mfano wachaga aise ni wanapenda pesa,nilikua na mpenzi wangu wa kichaga,akiamuka asubuhi anawaza pesa tu. Unampa pesa leo baada ya masaa machache tu amekwisha sahau, anaomba nyingine.
 
Inategemea unaoa wa wapi aliye kulia kijijini au mjini? wa kijijini kubali yafuatayo ndugu na jamaa zake kuhamia kwako, uwezekano wa kutembea na mdogo au dada mtu ni mkubwa sana na unaweza kuwaoa wote wawili
Niko Momba naishi nao.
Mbona haya sijawahi kuyaona?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!!
 
Back
Top Bottom