Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 202
Wadau, heri ya mwaka mpya 2014,
Naombeni mnipe mwanga kidogo kuhusu jambo hili, sina hakika sana kama jambo hili limeshajadiliwa humu jamvini ila naomba mnipe sifa na tabia za jumla za mabinti wa kimeru kutoka Arusha, ingawa sifa na tabia ni za mtu binafsi lakini kuna baadhi zile za kikabila naombeni mnisaidie kuniambia hizo za jumla, natarajia kuchukua mke huko, karibuni wadau
Naomba muwe serious wanajf, kwani mimi niko serious