One size does not fit all lakini.....
mkuu wasing'isi ndio kina nani hao?Jiandae kwa
1. Kununua shamba
2. Kufuga kondoo na ng'ombe
Ukifanya hayo utamfaidi Samburaa.
Ila ujue ni
Wakorofi ,
Wabishi,
Can Take A Bullet for You,
Fight by ur side mpaka pumzi ya mwisho, ukimzingua haoni hatari kurudi kwao chaap (Kwan njichirooo)
Mashemeji kama ni wa Sing'isi lazima uwe mpole
Wanajua kugegedana (sema hakuna foreplay)
Unaoa kijiji gani gani bwana.
Asanteni sana wadau, napata changamoto kwa kweli ambzo niazifanyia kaziWabaguzi kama wewe si kabila lao, wakorofi na rahisi kukasirika, wasiri sana, waaminifu kwenye ndoa zao, hawataki muingiliano wa makabila mengine na kuoa kwao kama si Mmeru watakudharau sana, na wakikasirika waweza kufanya lolote baya
Mkuu, umempa ukweli ambao ni mchungu labda kama jamaa nae ni mpenzi wa kuendesha gari isiyo na gia wala honiMabinti wao karibia wengi wametahiriwa.
asanteni sana wadau, napata changamoto kwa kweli ambzo niazifanyia kazi
Singisi ni shidaJiandae kwa
1. Kununua shamba
2. Kufuga kondoo na ng'ombe
Ukifanya hayo utamfaidi Samburaa.
Ila ujue ni
Wakorofi ,
Wabishi,
Can Take A Bullet for You,
Fight by ur side mpaka pumzi ya mwisho, ukimzingua haoni hatari kurudi kwao chaap (Kwan njichirooo)
Mashemeji kama ni wa Sing'isi lazima uwe mpole
Wanajua kugegedana (sema hakuna foreplay)
Unaoa kijiji gani gani bwana.